Jumapili ya tarehe 30 October 2016 mamia ya majeshi ya ufufuo na uzima waliokubali kumpa Yesu maisha yao toka Moshi mjini na wale waliookoka katika mkutano tulioufanya TPC walikubali kuitimiza haki yote kwa kubatizwa ubatizo wa maji mengi. Kwa kuonyesha kukubali kwao walielekea wote maeneo ya TPC Kiungi katika mto Kikavu na kuvua utu wao wa kale kwa furaha kuu.
Mathayo 3:13-15, "Wakati huo Yesu akaja kutoka Galilaya mpaka Yordani kwa Yohana ili abatizwe............ kwa kuwa ndivyo itupasavyo kuitimiza haki yote..........
Mathayo 3:13-15, "Wakati huo Yesu akaja kutoka Galilaya mpaka Yordani kwa Yohana ili abatizwe............ kwa kuwa ndivyo itupasavyo kuitimiza haki yote..........
"
0 comments:
Post a Comment