1:22:00 AM

Jumapili ya tarehe 30 October 2016 mamia ya majeshi ya ufufuo na uzima waliokubali kumpa Yesu maisha yao toka Moshi mjini na wale waliookoka katika mkutano tulioufanya TPC walikubali kuitimiza haki yote kwa kubatizwa ubatizo wa maji mengi. Kwa kuonyesha kukubali kwao walielekea wote maeneo ya TPC Kiungi katika mto Kikavu na kuvua utu wao wa kale kwa furaha kuu.
Mathayo 3:13-15, "Wakati huo Yesu akaja kutoka Galilaya mpaka Yordani kwa Yohana ili...
5:40:00 AM
Nabii mke Rachel, kutokea kabila la Yudah nchini Israel, amekuwepo katika ardhi ya Tanzania mjini Moshi, kilimanjaro kinabii, akiwa ametumwa na Mungu kwa makusudi makuu.
Kuondoa giza lililokuwa limetanda anga lote la paa la Afrika yaani kilimanjaro ambalo limekuwa likiifunika Afrika kwa ujumla. (Kumbuka unapozungumzia kilimanjaro ndipo mahali pa juu pa Afrika yote.)
Kunyamazisha kila damu za wanadamu na wanyama zilizokuwa zikipiga kelele kutokana na makafara yaliyokuwa yakifanywa miaka nenda rudi ndani ya nchi hii, ibada za sanamu zilizofanyika...
5:28:00 AM

Na SNP King Mwangasa.
Ni rahisi mtu kujiuliza
kurudisha nyota tena? Kulikoni mpaka kurudisha nyota?
Unajua nyota kwenye
biblia inamaanisha kipawa cha mtu au inawakilisha kipawa cha mtu ambacho...
4:09:00 AM

Ibada ya ubatizo ya mamia ya watu ikiongozwa na SNP King Mwangasa na jopo la wasaidizi wake,ufufuo na uzima kilimanjaro
Ibada ya ubatizo ya mamia ya watu ikiongozwa na SNP King Mwangasa na jopo la wasaidizi wake,ufufuo na uzima
Ibada ya ubatizo ya mamia ya watu ikiongozwa na SNP King Mwangasa na jopo la wasaidizi wake,ufufuo na
Ibada ya ubatizo ya mamia ya watu ikiongozwa na SNP King Mwangasa na...