Nabii mke Rachel, kutokea kabila la Yudah nchini Israel, amekuwepo katika ardhi ya Tanzania mjini Moshi, kilimanjaro kinabii, akiwa ametumwa na Mungu kwa makusudi makuu.
Kuondoa giza lililokuwa limetanda anga lote la paa la Afrika yaani kilimanjaro ambalo limekuwa likiifunika Afrika kwa ujumla. (Kumbuka unapozungumzia kilimanjaro ndipo mahali pa juu pa Afrika yote.)
Kunyamazisha kila damu za wanadamu na wanyama zilizokuwa zikipiga kelele kutokana na makafara yaliyokuwa yakifanywa miaka nenda rudi ndani ya nchi hii, ibada za sanamu zilizofanyika...